Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 1:10-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Je, wewe hukuweka ukuta wa ulinzi kumzunguka yeye+ na nyumba yake na kila kitu alicho nacho? Umeibariki kazi ya mikono yake,+ na mifugo yake imeenea nchini. 11 Lakini, ili mambo yabadilike, nyoosha mkono wako na upige kila kitu alicho nacho, na kwa hakika atakutukana mbele za uso wako mwenyewe.” 12 Kisha Yehova akamwambia Shetani: “Tazama! Kila kitu alicho nacho kimo mikononi mwako.* Ila tu usimguse mwanamume huyo!” Kwa hiyo Shetani akaondoka mbele za* Yehova.+

  • Zaburi 38:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Kwa maana mishale yako imenichoma ndani kabisa,

      Na mkono wako unanikandamiza chini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki