Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 30:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Ni nani amepanda mbinguni kisha akashuka?+

      Ni nani ameukusanya upepo katika viganja vyake viwili?

      Ni nani ameyafunga maji katika vazi lake?+

      Ni nani ameimarisha* miisho yote ya dunia?+

      Jina lake ni nani nalo jina la mwana wake ni nani—ikiwa unajua?

  • Mhubiri 11:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mawingu yakijaa maji, mvua itanyesha duniani; na mti ukianguka kuelekea kusini au kaskazini, utabaki mahali ulipoanguka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki