Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Binti ya Sayuni ameachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu,

      Kama nyumba ya msonge katika shamba la matango,

      Kama jiji lililozingirwa.+

  • Maombolezo 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Anakitendea kwa ukatili kibanda chake,+ kama kibanda kilicho katika bustani.

      Amekomesha* sherehe yake.+

      Yehova amesababisha sherehe na sabato zisahauliwe Sayuni,

      Na kwa ghadhabu yake kali hamheshimu mfalme na kuhani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki