-
Zaburi 148:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Enyi radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu mazito,
Ewe kimbunga, unayetekeleza neno lake,+
-
Mhubiri 1:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Upepo huelekea kusini na kuzungukazunguka hadi kaskazini;
Huendelea kuzungukazunguka; upepo huendelea na mizunguko yake.
-
-
-