-
Ayubu 13:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Umeitia miguu yangu katika mikatale,
Unavichunguza kwa makini vijia vyangu vyote,
Nawe unafuata kila wayo wa mguu wangu.
-
-
Ayubu 14:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini sasa, unaendelea kuhesabu kila hatua yangu;
Unatafuta tu dhambi zangu.
-