Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 24:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Maskini hutafuta chakula kama punda mwitu+ nyikani;

      Huwatafutia watoto wao chakula jangwani.

  • Zaburi 104:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wewe hupeleka chemchemi katika mabonde;*

      Kati ya milima zinatiririka.

      11 Zinawapa maji wanyama wote wa mwituni;

      Punda mwitu hukata kiu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki