-
2 Samweli 16:5-7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Mfalme Daudi alipofika Bahurimu, mtu fulani kutoka katika ukoo wa nyumba ya Sauli anayeitwa Shimei,+ mwana wa Gera, akaja kumtukana Daudi huku akimkaribia.+ 6 Alikuwa akimtupia Daudi mawe, na watumishi wote wa Mfalme Daudi, pamoja na watu wote na wanaume mashujaa waliokuwa upande wake wa kulia na wa kushoto. 7 Shimei alimtukana akisema: “Ondoka, ondoka, wewe mtu mwenye hatia ya damu! Wewe mtu asiyefaa kitu!
-