Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 13:29-31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Pia, Musa akawapa urithi nusu ya watu wa kabila la Manase, ukawa urithi wao kulingana na koo zao.+ 30 Na eneo lao lilianzia Mahanaimu+ na eneo lote la Bashani, eneo lote la Mfalme Ogu wa Bashani, na vijiji vyote vya mahema vya Yairi+ kule Bashani, miji 60. 31 Na nusu ya eneo la Gileadi, na Ashtarothi na Edrei,+ majiji ya ufalme wa Ogu kule Bashani, yalichukuliwa na wana wa Makiri+ mwana wa Manase, yaani, nusu ya wana wa Makiri kulingana na koo zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki