Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 2:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Kuanzia Aroeri,+ jiji lililo kwenye ukingo wa Bonde* la Arnoni (pamoja na jiji lililo bondeni), mpaka Gileadi, hakuna mji wowote ambao hatungeweza kuuteka. Yehova Mungu wetu aliitia yote mikononi mwetu.+

  • Kumbukumbu la Torati 7:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Kwa hakika Yehova Mungu wenu atayafukuza mataifa haya kutoka mbele yenu kidogo kidogo.+ Hamtaruhusiwa kuwaangamiza upesi, ili wanyama wa mwituni wasiongezeke na kuwashambulia ninyi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki