Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 55:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Lakini wewe, Ee Mungu, utawashusha chini kwenye shimo lenye kina kabisa.+

      Watu hao wenye hatia ya damu ambao ni wadanganyifu hawataishi nusu ya siku zao.+

      Lakini mimi, nitakutumaini wewe.

  • Ezekieli 18:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “‘Mtu mwadilifu akiuacha uadilifu wake na kutenda kosa, naye afe kwa sababu ya kosa hilo, atakufa kwa sababu ya kosa lake mwenyewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki