Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 144:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Inyooshe mikono yako kutoka juu;

      Niokoe na kuninusuru kutoka katika maji mengi,

      Kutoka katika mkono* wa wageni,+

  • Maombolezo 3:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Maji yalitiririka juu ya kichwa changu, nami nikasema: “Nimekwisha!”

  • Yona 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Maji yalinifunika na kuhatarisha uhai wangu;*+

      Kilindi cha maji kilinizunguka.

      Kichwa changu kilisokotwa na magugu maji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki