Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 23:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Akawaambia mara ya tatu: “Kwa nini? Amefanya kosa gani? Mimi sikuona jambo lolote linalofanya astahili kifo; kwa hiyo nitamwadhibu kisha nimfungue.”

  • Yohana 15:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kama singefanya kati yao kazi ambazo hakuna mwingine aliyezifanya, hawangekuwa na dhambi;+ lakini sasa wameniona, nao wamenichukia mimi na pia Baba yangu. 25 Lakini hilo lilifanyika ili kutimiza neno lililoandikwa katika Sheria yao: ‘Walinichukia bila sababu.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki