Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 50:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Niliwapa mgongo wangu wale waliokuwa wakinipiga

      Na mashavu yangu wale waliozing’oa ndevu zangu.

      Sikuuficha uso wangu kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na kutoka kwa mate.+

  • Mathayo 26:67
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 67 Kisha wakamtemea mate usoni+ na kumpiga ngumi.+ Wengine wakampiga makofi usoni,+

  • Mathayo 27:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki