Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 22:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Wewe ndiye uliyenitoa tumboni,+

      Ni Wewe uliyenifanya nihisi nikiwa salama kwenye matiti ya mama yangu.

      10 Nimewekwa chini ya utunzaji wako* tangu nilipozaliwa;

      Tangu nilipokuwa katika tumbo la mama yangu, umekuwa Mungu wangu.

  • Zaburi 139:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Macho yako hata yaliniona nikiwa kiinitete;

      Sehemu zake zote ziliandikwa katika kitabu chako

      Kuhusiana na siku ambazo zingeumbwa,

      Kabla sehemu yoyote haijakuwepo.

  • Isaya 46:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 “Nisikilize mimi, Ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote mnaobaki wa nyumba ya Israeli,+

      Ninyi niliowategemeza tangu mlipozaliwa na kuwabeba tangu tumboni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki