-
Zaburi 71:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Ninakusifu daima.
-
-
Zaburi 139:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Macho yako hata yaliniona nikiwa kiinitete;
Sehemu zake zote ziliandikwa katika kitabu chako
Kuhusiana na siku ambazo zingeumbwa,
Kabla sehemu yoyote haijakuwepo.
-