-
Ayubu 21:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kuna mtu anayekufa akiwa na nguvu zake zote+
Akiwa amestarehe kabisa na bila mahangaiko,+
-
Isaya 30:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kwa hiyo uovu huu utakuwa kwenu kama ukuta uliobomoka,
Kama ukuta mrefu uliofura unaokaribia kuanguka.
Utaanguka ghafla, mara moja.
-
-
-