Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 143:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Ninazikumbuka siku za kale;

      Ninatafakari utendaji wako wote;+

      Ninatafakari* kwa bidii kazi ya mikono yako.

  • Isaya 51:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Amka! Amka! Jivike nguvu,

      Ee mkono wa Yehova!+

      Amka kama katika siku za zamani za kale, kama katika vizazi vilivyopita.

      Je, si wewe uliyemvunja Rahabu*+ vipandevipande,

      Uliyemchoma kwa silaha yule mnyama mkubwa sana wa baharini?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki