Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 138:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Hata nikitembea katikati ya hatari, utanihifadhi hai.+

      Unaunyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya maadui wangu;

      Mkono wako wa kuume utaniokoa.

  • Isaya 43:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Unapopita katika maji, nitakuwa pamoja nawe,+

      Na unapopita katika mito, haitafurika na kukufunika.+

      Unapotembea katika moto, hutateketea,

      Wala mwali wa moto hautakuunguza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki