Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 3:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mara tu makuhani waliobeba lile Sanduku walipofika Yordani na kutumbukiza miguu yao ukingoni mwa mto huo (kwa maana maji ya Yordani hufurika kwenye kingo zake+ sikuzote za mavuno), 16 maji yanayotoka upande wa juu yakaacha kutiririka. Yakasimama tuli kama bwawa* mbali sana huko Adamu, jiji lililo karibu na Sarethani, na yale yanayoshuka kwenye Bahari ya Araba, yaani, Bahari ya Chumvi, yakakauka. Yalisimamishwa, na watu wakavuka kuelekea Yeriko.

  • 2 Wafalme 2:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Eliya akachukua vazi lake rasmi,+ akaliviringa na kuyapiga maji, nayo yakagawanyika kushoto na kulia, basi wote wawili wakavuka ng’ambo kupitia nchi kavu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki