Methali 1:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 “Ninyi wajinga mtaendelea kuupenda ujinga mpaka lini? Nanyi wadhihaki mtaendelea kufurahia dhihaka mpaka lini? Nanyi wapumbavu mtaendelea kuchukia ujuzi mpaka lini?+
22 “Ninyi wajinga mtaendelea kuupenda ujinga mpaka lini? Nanyi wadhihaki mtaendelea kufurahia dhihaka mpaka lini? Nanyi wapumbavu mtaendelea kuchukia ujuzi mpaka lini?+