Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ole wao wanaotunga sheria zinazodhuru,*+

      Ambao sikuzote huandika amri zinazokandamiza,

  • Danieli 6:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Maofisa wote wa mfalme, wasimamizi, maliwali, maofisa wakuu wa mfalme, na magavana, wameshauriana ili mfalme atoe amri na kutangaza marufuku, kwamba kwa siku 30 mtu yeyote atakayemwomba mungu yeyote au mwanadamu isipokuwa wewe, Ee mfalme, anapaswa kutupwa ndani ya shimo la simba.+

  • Matendo 5:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Basi wakawaleta na kuwasimamisha mbele ya Sanhedrini. Kisha kuhani mkuu akawahoji 28 akisema: “Tuliwakataza kabisa msifundishe kwa msingi wa jina hili,+ na bado tazama! mmejaza Yerusalemu fundisho lenu, nanyi mmeazimia kuileta damu ya mtu huyu juu yetu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki