-
Mwanzo 2:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Na Mungu akaibariki siku ya saba na kuitangaza kuwa takatifu, kwa kuwa katika siku hiyo Mungu amekuwa akipumzika kutokana na kazi yake yote ya kuumba, vyote alivyokusudia kuumba.
-