Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa maana nitapita katikati ya nchi ya Misri usiku huo na kumuua kila mzaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri, kuanzia mwanadamu mpaka mnyama;+ nami nitatekeleza hukumu dhidi ya miungu yote ya Misri.+ Mimi ni Yehova.

  • Kutoka 18:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Sasa ninajua kwamba Yehova ni mkuu kuliko miungu mingine yote,+ kwa sababu ya mambo aliyowafanyia wale waliowatendea watu wake kwa kiburi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki