-
Zaburi 47:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Enyi mataifa yote, pigeni makofi.
Mpigieni Mungu kelele za ushindi kwa vigelegele vya shangwe.
-
-
Zaburi 67:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Utayaongoza mataifa ya dunia. (Sela)
-