Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 9:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Nilipokuwa bado nikiongea na kusali na kuungama dhambi yangu na dhambi ya watu wangu Waisraeli na kuomba kibali mbele za Yehova Mungu wangu kuhusu mlima mtakatifu wa Mungu wangu,+ 21 naam, nilipokuwa bado nikisali, mwanamume Gabrieli,+ niliyekuwa nimemwona awali katika maono,+ alinijia nilipokuwa nimechoka kwelikweli karibu wakati ambao zawadi ya jioni hutolewa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki