Mwanzo 1:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Mungu akaumba viumbe wakubwa* wa baharini na viumbe wote walio hai waendao na waliojaa majini kulingana na aina zao na kila kiumbe mwenye mabawa anayeruka, kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.
21 Mungu akaumba viumbe wakubwa* wa baharini na viumbe wote walio hai waendao na waliojaa majini kulingana na aina zao na kila kiumbe mwenye mabawa anayeruka, kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.