Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 14:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Wakamwambia Musa: “Je, ni kwa sababu hakuna makaburi huko Misri ndiyo sababu umetuleta hapa tufie nyikani?+ Ni jambo gani hili ulilotutendea kwa kututoa Misri? 12 Je, hili silo jambo tulilokuambia nchini Misri tuliposema, ‘Achana nasi, ili tuwatumikie Wamisri’? Kwa maana ni afadhali kwetu kuwatumikia Wamisri kuliko kufia nyikani.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki