Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 25:11-13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Finehasi+ mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Haruni amezuia ghadhabu yangu dhidi ya Waisraeli kwa sababu hakuvumilia ushindani wowote dhidi yangu miongoni mwao.+ Kwa hiyo sijawaangamiza Waisraeli licha ya kwamba ninasisitiza watu waniabudu mimi peke yangu.+ 12 Kwa hiyo mwambie, ‘Ninafanya agano langu la amani pamoja naye. 13 Nalo litakuwa agano la ukuhani wa kudumu kwa ajili yake na wazao wake,+ kwa maana hakuvumilia ushindani wowote kumwelekea Mungu wake,+ naye alifanya dhambi ya Waisraeli ifunikwe.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki