-
Yeremia 15:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “Nami nitakuokoa kutoka mikononi mwa watu waovu
Na kukukomboa kutoka mikononi mwa watu wakatili.”
-
-
Mika 4:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Gaagaa na kulia kwa uchungu, Ee binti ya Sayuni,
Kama mwanamke anayezaa,
Kwa maana sasa utatoka jijini na kuishi shambani.
-