- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 7:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
13 Atawapenda na kuwabariki na kuwafanya mwongezeke. Naam, atawabariki kwa kuwapa watoto wengi,*+ mazao ya ardhi yenu, nafaka yenu, divai yenu mpya, mafuta yenu,+ ndama na wanakondoo wa makundi yenu, katika nchi aliyowaapia mababu zenu kwamba atawapa ninyi.+ 14 Mtabarikiwa kuliko mataifa mengine yote;+ hakuna mwanamume au mwanamke yeyote miongoni mwenu atakayekosa mtoto, wala mifugo yenu haitakosa kuzaa.+
 
 -