Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 35:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mashahidi wenye nia mbaya hunikabili,+

      Na kuniuliza mambo nisiyoyajua.

      12 Wananilipa uovu kwa mema niliyotenda,+

      Na kunifanya nihisi kama mtu aliyefiwa.

  • Zaburi 38:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Lakini maadui wangu wana juhudi* na ni hodari,*

      Wale wanaonichukia bila sababu wameongezeka sana.

      20 Walinilipa uovu kwa mema niliyotenda;

      Walinipinga kwa sababu ya kufuatia mambo mema.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki