-
Zaburi 55:12-14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Si adui aliyeinuka dhidi yangu;
La sivyo ningeweza kujificha.
14 Tulikuwa tukifurahia pamoja urafiki wa karibu sana;
Katika nyumba ya Mungu tulikuwa tukitembea pamoja na umati.
-