Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 16:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kisha Daudi akamwambia Abishai na watumishi wake wote: “Ikiwa mwanangu mwenyewe, niliyemzaa anatafuta uhai wangu,*+ je, Mbenjamini hatafanya zaidi?+ Mwacheni anitukane, kwa maana Yehova alimwambia afanye hivyo!

  • 2 Samweli 17:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kisha Ahithofeli akamwambia Absalomu: “Tafadhali, niruhusu nichague wanaume 12,000 niende kumfuatia Daudi usiku wa leo. 2 Nitamkuta akiwa amechoka na akiwa dhaifu,*+ kisha nitamtia woga; na watu wote walio pamoja naye watakimbia, nami nitamuua mfalme peke yake.+

  • Zaburi 37:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Mwovu humtazama mwadilifu,

      Akitafuta kumuua.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki