Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 37:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mtu mwovu hupanga njama dhidi ya mwadilifu;+

      Humsagia meno yake.

  • Zaburi 41:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Hata mtu niliyekuwa na amani naye, ambaye nilimwamini,+

      Aliyekuwa akila mkate wangu, amekiinua kisigino chake dhidi yangu.*+

  • Zaburi 55:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa maana si adui anayenidhihaki;+

      La sivyo ningevumilia.

      Si adui aliyeinuka dhidi yangu;

      La sivyo ningeweza kujificha.

      13 Lakini ni wewe, mwanadamu kama mimi,*+

      Rafiki yangu mwenyewe ninayemjua vizuri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki