-
Zaburi 119:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Tazama jinsi ninavyoyatamani sana maagizo yako!
Nihifadhi hai katika uadilifu wako.
-
-
Zaburi 119:88Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
88 Nihifadhi hai kwa sababu ya upendo wako mshikamanifu,
Ili nishike vikumbusho ulivyosema.
-