Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 23:26-28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Sauli alipofika upande mmoja wa mlima, Daudi na wanaume wake walikuwa upande wa pili wa mlima huo. Daudi alikuwa akifanya haraka kumkimbia+ Sauli, lakini Sauli na wanaume wake walikuwa wakimkaribia Daudi na wanaume wake ili wawakamate.+ 27 Lakini mjumbe fulani akaja kwa Sauli na kumwambia: “Njoo haraka, kwa sababu Wafilisti wameivamia nchi!” 28 Ndipo Sauli akaacha kumfuatia Daudi,+ akaenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu mahali hapo paliitwa Mwamba wa Migawanyiko.

  • 2 Samweli 17:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Baada ya wanaume hao kwenda zao, walitoka kisimani na kwenda kumjulisha Mfalme Daudi. Wakamwambia: “Ondoka, uvuke haraka maji haya, kwa maana Ahithofeli ametoa ushauri dhidi yako.”+ 22 Mara moja Daudi na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka na kuvuka Yordani. Wakati wa mapambazuko, hapakuwa na mtu hata mmoja ambaye hakuwa amevuka Yordani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki