-
1 Mambo ya Nyakati 23:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Kwa maana kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi wenye umri wa miaka 20 na zaidi walihesabiwa.
-
-
Luka 2:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 na sasa alikuwa mjane mwenye umri wa miaka 84. Hakukosa kamwe hekaluni, akitoa utumishi mtakatifu usiku na mchana, akifunga na kutoa dua.
-