Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 22:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Wewe hunipa ngao yako ya wokovu,

      Na unyenyekevu wako hunifanya niwe mkuu.+

  • Zaburi 113:6-8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Huinama chini ili atazame mbingu na dunia,+

       7 Akimwinua mtu wa hali ya chini kutoka mavumbini.

      Humwinua juu maskini kutoka kwenye rundo la majivu*+

       8 Ili amketishe pamoja na viongozi,

      Pamoja na viongozi wa watu wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki