Zaburi 41:1, 2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 41 Mwenye furaha ni mtu yeyote anayemjali mtu wa hali ya chini;+Yehova atamwokoa siku ya msiba. 2 Yehova atamlinda na kumhifadhi hai. Atatangazwa kuwa mwenye furaha duniani;+Hutamtia kamwe mikononi mwa maadui wake ili wamtendee wapendavyo.*+
41 Mwenye furaha ni mtu yeyote anayemjali mtu wa hali ya chini;+Yehova atamwokoa siku ya msiba. 2 Yehova atamlinda na kumhifadhi hai. Atatangazwa kuwa mwenye furaha duniani;+Hutamtia kamwe mikononi mwa maadui wake ili wamtendee wapendavyo.*+