Kutoka 15:9, 10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Adui alisema, ‘Nitawafuatia! Nitawafikia! Nitagawanya nyara mpaka nitakapotosheka! Nitauchomoa upanga wangu! Mkono wangu utawatiisha!’+ 10 Ulipuliza bahari kwa pumzi yako, ikawafunika;+Walizama kama madini ya risasi katika maji makuu.
9 Adui alisema, ‘Nitawafuatia! Nitawafikia! Nitagawanya nyara mpaka nitakapotosheka! Nitauchomoa upanga wangu! Mkono wangu utawatiisha!’+ 10 Ulipuliza bahari kwa pumzi yako, ikawafunika;+Walizama kama madini ya risasi katika maji makuu.