Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 7:14-21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Nililazimika kutoa dhabihu za ushirika.+

      Leo nilitimiza nadhiri zangu.

      15 Ndiyo sababu nimekuja kukupokea,

      Kukutafuta, nami nimekupata!

      16 Nimetandika matandiko bora kitandani mwangu,

      Kitani cha Misri chenye rangi mbalimbali.+

      17 Nimenyunyiza manemane, udi, na mdalasini kitandani mwangu.+

      18 Njoo, tunywe na kushiba upendo mpaka asubuhi;

      Na tujifurahishe kwa mahaba,

      19 Kwa maana mume wangu hayuko nyumbani;

      Amesafiri mbali.

      20 Alibeba mfuko wa pesa,

      Naye hatarudi mpaka siku ya mwezi mpevu.”

      21 Anampotosha kwa ushawishi mkubwa.+

      Anamtongoza kwa maneno laini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki