Methali 7:22, 23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Ghafla kijana huyo anamfuata, kama ng’ombe dume anayeenda machinjioni,Kama mjinga anayeenda kuadhibiwa katika mikatale,*+23 Mpaka mshale unapochoma ini lake;Kama ndege anayekimbia kuingia mtegoni, hajui kwamba hilo litamgharimu uhai wake.*+
22 Ghafla kijana huyo anamfuata, kama ng’ombe dume anayeenda machinjioni,Kama mjinga anayeenda kuadhibiwa katika mikatale,*+23 Mpaka mshale unapochoma ini lake;Kama ndege anayekimbia kuingia mtegoni, hajui kwamba hilo litamgharimu uhai wake.*+