Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 9:13-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mwanamke mpumbavu ana kelele.+

      Yeye ni mjinga na hajui chochote.

      14 Huketi kwenye mlango wa nyumba yake

      Kwenye kiti sehemu zilizoinuka jijini,+

      15 Akiwaita kwa sauti wale wanaopita karibu naye,

      Waendao moja kwa moja kwenye njia yao:

      16 “Yeyote ambaye ni mjinga, aje hapa.”

      Huwaambia wale wasio na busara:*+

      17 “Maji yaliyoibwa ni matamu,

      Na chakula kinacholiwa sirini kinapendeza.”+

      18 Lakini hawajui kwamba wale waliokufa ambao hawana uwezo wako hapo,

      Na kwamba wageni wake wamo katika vina vya Kaburi.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki