Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 16:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kiburi hutangulia kuanguka kwa kishindo,

      Na roho ya majivuno hutangulia kujikwaa.+

  • Luka 14:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Mtu akikualika kwenye karamu ya ndoa, usiketi mahali pa heshima zaidi.+ Huenda pia amemwalika mtu mashuhuri kuliko wewe. 9 Naye aliyewaalika atakuja kukuambia, ‘Mwachie mtu huyu mahali ulipoketi.’ Kisha utaondoka kwa aibu na kuketi mahali pa chini kabisa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki