Methali 6:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Mwanangu, ikiwa umemdhamini* jirani yako,+Ikiwa umempa mkono* mtu usiyemjua,+ Methali 6:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Jiokoe kama swala kutoka mikononi mwa mwindaji,Kama ndege kutoka mikononi mwa mwindaji wa ndege. Methali 20:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Chukua vazi la mtu ikiwa amemwekea dhamana mtu asiyemjua;+Chukua dhamana kutoka kwake ikiwa alimfanyia hivyo mwanamke mgeni.*+
6 Mwanangu, ikiwa umemdhamini* jirani yako,+Ikiwa umempa mkono* mtu usiyemjua,+ Methali 6:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Jiokoe kama swala kutoka mikononi mwa mwindaji,Kama ndege kutoka mikononi mwa mwindaji wa ndege. Methali 20:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Chukua vazi la mtu ikiwa amemwekea dhamana mtu asiyemjua;+Chukua dhamana kutoka kwake ikiwa alimfanyia hivyo mwanamke mgeni.*+
16 Chukua vazi la mtu ikiwa amemwekea dhamana mtu asiyemjua;+Chukua dhamana kutoka kwake ikiwa alimfanyia hivyo mwanamke mgeni.*+