Methali 11:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Yeyote anayemwekea dhamana ya mkopo* mtu asiyemjua hakika ataumia,+Lakini yeyote anayeepuka* kumpa mkono ili kumdhamini atakuwa salama. Methali 20:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Chukua vazi la mtu ikiwa amemwekea dhamana mtu asiyemjua;+Chukua dhamana kutoka kwake ikiwa alimfanyia hivyo mwanamke mgeni.*+
15 Yeyote anayemwekea dhamana ya mkopo* mtu asiyemjua hakika ataumia,+Lakini yeyote anayeepuka* kumpa mkono ili kumdhamini atakuwa salama.
16 Chukua vazi la mtu ikiwa amemwekea dhamana mtu asiyemjua;+Chukua dhamana kutoka kwake ikiwa alimfanyia hivyo mwanamke mgeni.*+