Methali 11:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Mtu ambaye amemwekea dhamana mgeni+ hakika atapatwa na mabaya, lakini anayechukia kufanya mapatano kwa kupeana mkono hukaa bila wasiwasi. Methali Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:15 w02 7/15 28 Methali Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:15 Mnara wa Mlinzi,7/15/2002, uku. 28
15 Mtu ambaye amemwekea dhamana mgeni+ hakika atapatwa na mabaya, lakini anayechukia kufanya mapatano kwa kupeana mkono hukaa bila wasiwasi.