Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 13:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi Abramu akamwambia Loti:+ “Tafadhali, pasiwe na ugomvi wowote kati yangu mimi na wewe na kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako, kwa maana sisi ni ndugu. 9 Je, nchi yote haiko mbele yako? Tafadhali, jitenge nami. Ukienda kushoto, nitakwenda kulia; lakini ukienda kulia, basi mimi nitakwenda kushoto.”

  • 1 Samweli 25:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Abigaili alipomwona Daudi, alishuka haraka kutoka juu ya punda na kuanguka kifudifudi mbele ya Daudi, huku akiinama chini. 24 Kisha akaanguka miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, acha nibebe lawama; niruhusu mimi kijakazi wako nizungumze nawe, na usikilize maneno ya kijakazi wako.

  • Methali 25:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwa subira kamanda hushawishiwa,

      Na ulimi laini* unaweza kuvunja mfupa.+

  • Yakobo 1:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Jueni hili, ndugu zangu wapendwa: Kila mtu lazima awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema,+ si mwepesi wa hasira,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki