Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:32, 33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Ndipo Daudi akamwambia Abigaili: “Msifu Yehova Mungu wa Israeli, aliyekutuma leo ukutane nami! 33 Busara yako na ibarikiwe! Na ubarikiwe kwa kunizuia leo nisiwe na hatia ya damu+ na nisilipize kisasi* kwa mikono yangu mwenyewe.

  • Methali 25:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kama matofaa ya dhahabu yaliyonakshiwa kwenye vyombo vya fedha

      Ndivyo lilivyo neno linalosemwa wakati unaofaa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki