Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Kisha Sauli akamwambia Yehova: “Ee Mungu wa Israeli, jibu kwa Thumimu!”+ Ndipo Yonathani na Sauli wakachaguliwa, nao watu wakawa huru. 42 Basi Sauli akasema: “Pigeni kura+ kuamua kati yangu na mwanangu Yonathani.” Kisha Yonathani akachaguliwa.

  • Matendo 1:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ndipo wakasali wakisema: “Wewe, Ee Yehova,* unayejua mioyo ya wote,+ onyesha ni nani kati ya watu hawa wawili ambaye umemchagua

  • Matendo 1:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Basi wakawapigia kura,+ na kura ikamwangukia Mathia, naye akahesabiwa* pamoja na wale mitume 11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki